Kuweka window/os zaidi ya moja kwenye computer kuna madhara?

mfukunyunzi

Senior Member
Joined
Mar 4, 2011
Posts
142
Reaction score
26
Wataalamu wa haya mambo naombeni msaada wenu tafadhali. Nilikuwa nataka kufahamu kama kuna madhara yoyote kwa computer endapo utaiwekea operating system au window zaidi ya moja. Kwa mfano uweke window xp na vista, linux na vista, au uweke zote tatu kwenye comp moja kama vile vista, ubuntu, na linux. Je ni salama kwa computer kwa upande wa hardware na software?
 
kwa upande wangu sioni madhara yoyote so far kwa sababu computer yangu inazo mbili yaani window xp na linux na inafanya kazi vizuri tu.
 
inabidi uwe unaamini polygamy, ila kama uko against it, then hapo kuna madhara!
 
Back
Top Bottom