FOdd
Senior Member
- Sep 17, 2017
- 127
- 173
Wakuu kwema humu? Nataka nijue kama inawezekana kuinstall window 8 au 10 kwa kutumia Memory card pc yangu ports zina zingua ni mini laptop ni reset ikazima ghafla ivo inawaka na na kuzima ila kwenye boot mode inakubari na flash ambayo iko bootable, Sasa nataka kujaribu option ya kushusha window kwa kutumia Memory card mana pc ina slot(tundu) la memory, msaada wakuu