Kuweka seats kwenye Hiace

Kuweka seats kwenye Hiace

muuza ubuyu

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2010
Posts
3,543
Reaction score
3,598
Habari waungwana,

Kuna Hiace nataka kununua ila haijawekewa seats za abiria zaidi ya seats za mbele. Je, gharama ya kuweka hizo seats za abiria kwenye hiace ni gharama kiasi gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Updates?

Nataka kujua pia gharama za kuweka seats za Hiace kwa 2023.
 
Back
Top Bottom