Kuweka password kwenye folder

Kingmairo

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2012
Posts
4,936
Reaction score
3,549
Ndugu wadau wa jamvi hili, naomba msaada kujua kama kuna njia ya kuset password katika folder. Kama ipo inawekwaje? Tafadhali kwa mwenye taarifa share na sisi maujanja.
 
download hii software inaitwa folder guard,everything will be okey.hapa
 
Ndugu wadau wa jamvi hili, naomba msaada kujua kama kuna njia ya kuset password katika folder. Kama ipo inawekwaje? Tafadhali kwa mwenye taarifa share na sisi maujanja.

folder guard itakukwamua kwenye hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…