kuweka link tatizo help me

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
130
wadau habari zenu
naomba mnielekeze jinsi yakuattach email katika maelezo/link kama kumpa mtu aingie moja kwa moja natumia simu lakini
ahsanten
 
Ebu jaribu kutembelea uzi huu hapa chini utajua jinsi ya kuweka link:


gonga hapa >>> > [thread=4431583]Haya hapa yale maujanja ya JF[/thread]

au hapa >>>>
Haya hapa yale maujamja ya JF
 
ngoja niingie mkuu
 
inanambia no topic specified na maelezo mengne pia
 
inagoma kaka napia sio lazma iwe jf kokote hata fb au blog nielekeze bro
 
ebana nimeichek kwa humu nimeelewa bt inakuwaje nikitaka kuweka link out of jf
 
<a href="http://www.microsoft.com/">
hapa</a>
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…