ankol
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 2,113
- 3,488
Habarini wana sports wenzangu.
Kwa hali ya mienendo ya waamuzi kwenye ligi yetu ilivyo. Naona wanaweza poteza ladha ya soka letu hasa inapokuja mechi kubwa kama hii ya tarehe 11.
Hebu fikiria watu wamewekeza kiasi gani cha pesa halafu anakuja mwamuzi anachezesha hali ya kua na matokeo yake kichwani.
Imefika wakati sasa Tff kutafuta waamuzi toka nje ya nchi ambao hawatakua na mfungamano na timu yoyote na wasitangazwe mpaka siku ya match.