wakuu habarini,
Naomba mwenye kujua utaratibu gani natakiwa nifuate kwa case yangu hii, nimeajiriwa kwa cheti cha diploma lakini kwa sasa nimehitimu degree yangu ya kwanza nahitaji kukiwasilisha cheti kwa mwajiri wangu , je ni utaratibu gani natakiwa nifuate!!!