Kuwashwa sehemu ya haja kubwa

Pruritus ani ni dalili ya uwepo wa minyoo enterobius vermicularis
 
Hili Jukwaa la afya lakini wana JF tuna upuuzi mwingi

Badala ya kucomment upuuzi si bora ukae kimya au uende jukwaa husika

Huwezi kumsaidia mtu ficha upumbavu wako
 
Iyo ni bawasili mzee inatokana na kukaa sana chooni au kufanya mapenzi kinyume na maumbile
 
Hujisafishi vizuri mkuu, maana kama hujisafishi vizuri hupelekea , kinyesi kuchubua sehehemu laini za juu ya mkundu kitu ambacho hupelekea kusikia muwasho sehemu bizo kunapo kuwa na ama joto au mabaki ya kinyesi kisicho safishwa vizuri, kuku washa mithiri ya unahitaji dushee.

Miwasho hiyo hutokana na asili ya kinyesi ambacho kwa asili kina kuwa na mabaki ya kimikali mwili ambazo ni pamoja na hydrochloric acid inayo patikana tumboni wakati wa mmengenyo. Jisafishe vizuri alafu utatupatia mrejesho hapa, la mwisho pole miwasho kama itazidi hata baada ya zoezi hili kamuone daktari labda kutakuwa na maambukizi ya fangus yatokanayo na uchafu wako wa kuto jisafisha vizuri,

Kama wewe ni k basi jaribu kuacha huo mchezo wa du ndu dudu dunduru ndundu express your self.........
 
Kuwashwa haja kubwa na kupimwa mkojo wapi na wapi mzee mwenzangu!
 

Mkuu hatushauri mwanamke kujisafisha ndani ya uke safisha nje tu inatosha
Kusafisha ndani unaweza kuua wale bacteria wazuri wanaoulinda uke na kuwapa nafasi wabaya kushambulia na kupelekea kupata magonjwa mbalimbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…