Kuwashwa baada ya kuoga!

cyruss

Senior Member
Jan 13, 2012
196
40
Napenda kujua na kuwasilisha mada juu ya "mtu kuwashwa mda mfupi tu baada ya kuoga",hii ni nini hasa, watu gani huwapata, nini husababisha na tiba yake nini.
 
Hata mim nakua nawashwa sana nkimalza kukoga na cjui inasababishwa na nini na kma kuna m2 anaijua dawa yake plz 2nahtaj msaada
 
kama huwa unajifuta angalia vizuri taulo unalotumia kama linafuliwa mara kwa mara na kama hua linasuuzwa vizuri kuhakikisha kuwa halina sabuni mara baada ya kufuliwa. maana likibaki na sabuni halafu ukajifuta nalo lazima uwashwe tu.
 
Back
Top Bottom