mmakonde2004
New Member
- May 25, 2026
- 4
- 10
Asalam aleykum,Bwana asifiwe watanzania wenzangu.
Awali ya yote Mimi ni mgeni hapa JF lakini nimeifuatilia tangy nipo shule mwaka 2018 so naombeni mnipokee.
Kuna kitu nakiona na kinaniumiza sana moyo hivyo Leo nimeona niwasilishe uchungu wangu kwenu ni kuhusu hili swala la kujibizana au kuchangia threads za watu walioamua kujitoa ufahamu kama
Tlaatlaah
Lucas Mwashambwa
Lucha
Gallow bird
Kerato Mombaa
Narego n.k
Kiukweli hawa watu wana maneno ya kutonesha machungu ya wapenda haki na wameshaamua iwe hivyo na inawezekana wanalipwa kwa kazi hiyo au labda hawa ndio wauaji wenyewe.
Ombi langu kwenu ikiwezekana hawa watu tuwatenge waanzishe mada zao halafu wajijibu wenyewe na wauaji wenzao.
Kwa Leo ni hayo tu
Mungu ibariki Tanzania 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Mungu ibariki Africa
🙏🙏🙏🙏🙏🙏