Kuwanyima watu haki ya kuishi

Kuwanyima watu haki ya kuishi

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana JF,

Kila nikijaribu kudadavua kauli ya Marekani zidi ya RC Makonda wana maana gani, jibu sipati.

Mara najiuliza au kuuwa watu wasio na hatia ndiyo kuwanyima haki ya kuishi. Kama jibu ndiyo hilo, je wale watu waliokufa na wanaoendelea kufa katika nchi kama Iraq, Libya, Somalia, Afghanistan, Palestina na nyingine nyingi hawana haki ya kuishi?

Au kunya anye kuku akinya bata kaharisha?

Tusipende kushabikia vitu bila kufikiria mambo kwa kina. Kama gaidi, Marekani ndio Gaidi namba moja.
 
Chief,

Mbona sijaona uhusiano kati ya huko Iraq na kwingineko ulikotaja. Je wana uhusiano gani na Makonda? Kaambiwa yeye anahusika na hilo la kuua Je ni kweli au si kweli?

Haimaanishi kwa kuwa umeenda sokoni ukamkuta mchinja kuku akichinja kuku za watu wewe uchukue kisu tu na kuanza kuchinja. Kuna taratibu zake.

Huko wao wana utaratibu wanaoufanya ili kuhalalisha wao kuwa huko ka vitani. Makonda anafanya vita na nani hapa??
Hivi kwa nini tunashindwa ku raise points zetu kumtetea? Mara ohh kaambiwa anawachukia mashoga, mara nini, tu raise points kama tunataka kumsaidia sio kubisha tuuu
 
Chief,

Mbona sijaona uhusiano kati ya huko Iraq na kwingineko ulikotaja. Je, wana uhusiano gani na Makonda? Kaambiwa yeye anahusika na hilo la kuua. Je, ni kweli au si kweli? Haimaanishi kwa kuwa umeenda sokoni ukamkuta mchinja kuku akichinja kuku za watu wewe uchukue kisu tu na kuanza kuchinja. Kuna taratibu zake.

Huko wao wana utaratibu wanaoufanya ili kuhalalisha wao kuwa huko ka vitani. Makonda anafanya vita na nani hapa?

Hivi kwa nini tunashindwa ku-raise points zetu kumtetea? Mara ohh kaambiwa anawachukia mashoga, mara nini. Tu-raise points kama tunataka kumsaidia sio kubisha tu.
Kwani wanochinjwa kule ni haki yao kudedi au vp?
 
Chief,
Mbona sijaona uhusiano kati ya huko Iraq na kwingineko ulikotaja. Je wana uhusiano gani na Makonda?? Kaambiwa yeye anahusika na hilo la kuua Je ni kweli au si kweli?? Haimaanishi kwa kuwa umeenda sokoni ukamkuta mchinja kuku akichinja kuku za watu wewe uchukue kisu tu na kuanza kuchinja. Kuna taratibu zake. Huko wao wana utaratibu wanaoufanya ili kuhalalisha wao kuwa huko ka vitani. Makonda anafanya vita na nani hapa??
Hivi kwa nini tunashindwa ku raise points zetu kumtetea? Mara ohh kaambiwa anawachukia mashoga, mara nini, Tu raise points kama tunataka kumsaidia sio kubisha tuuu
Sio ndio hapo.. ni sawa na mtu anaulizwa kwanini umeua alafu anajibu ni kwasababu fulani kaua.
 
Back
Top Bottom