Kuwait bans 5 Muslim countries to enter Gulf state..



Mii sio sapota wa hayo makundi ya kiislam ila ningekuuliza yule hitler mkatoliki aliuwa mayahudi wangap vile? Na mungu wake alikuwa nani?
 
Ile nchi ilotoa magaidi wengi katika 9/11 haijapewa ban!!! Anaogopa atakosa mafuta na mabilioni yaliowekwa kwenye benki za marekani kutolewa au?
 
Mii sio sapota wa hayo makundi ya kiislam ila ningekuuliza yule hitler mkatoliki aliuwa mayahudi wangap vile? Na mungu wake alikuwa nani?

Mwulize yeye, mimi siyo Hitler na sijui kma utaktoliki unahusiana nini na Ukristo.

Allah ni shetani na atabaki shetani!
 
Yaan nkisema watasema mdini ngoja wajijibie wao mwishowe utaskia nchi za kiafrica zinaunga tela
 
Tabby kama una ubavu, pingana na Quran. Quran imekupa changamoto na huwezi kuipinga bila ya kuisoma. Sasa kama unajiamini, chukua changamoto hiyo. Link Allah’s Challenge in the Quran to produce work similar to it

Kila ambaye alikuwa mkweli kwa nafsi yake na ambaye alitaka kuonesha "ushetani, ukafiri, ujinga, vituko, uongo wa" Quran alilazimika kuukabili ukweli na ukweli unajua una athari gani kwa binadamu.

Ninachoweza kukushauri weka prejudices pembeni, itafute Quran, utamjua Allah, utaujua uislamu aka muongozo wa maisha ambao Mungu amekupa lakini wazazi wako na mazingira ndio yalikubadili.

Kila binadamu anaziliwa akiwa muislamu, wewe pia ulikuwa hivyo.






Link Al-Qur'an al-Kareem - القرآن الكريم

Link2. Qur'ani Tukufu

Tabby, Ndugu chunga ulimi wako na afya yako. Pumzi unazovuta ni zawadi kutoka kwa Mungu. Afya yako ndio mtaji wako, mtafute Mungu utampata. Just be sincere.
Weka paji la uso ardhini na sema "ewe Mungu kama upo kweli, niongoze".
 
Mwulize yeye, mimi siyo Hitler na sijui kma utaktoliki unahusiana nini na Ukristo.

Allah ni shetani na atabaki shetani!
huna cha kusema hahahaaa kwani we dhehebu gani ata uwakatae wakatoliki? 😀 6 million jews in one period...... huyo mungu wenu sijui nani
 
Mtamwelewa Trump, yeye kakoroga mzinga wa nyuki ili kieleweke, kuna wengi walitamani kufanya anayoyafanya lakini waliogopa kukemewa. Yeye amejifanya wazimu na kulianzisha, wengine watamfuata, haya majihadi lazima yapigwe kwa moto.
 
This is false information. Posting information without verifying its authenticity is a Felony. These kinds of information are just to provoke hateracy towards Arabs and Muslims around the globe. The Kuwaiti government issued a statement in denying that report circulating in the social medias.

Kuwait visa ban: Pakistan rejects report, says no restriction on Pak nationals

Kuwait Embassy Calls News About Visa Ban "Baseless Rumours" - basnews
 
dini,mtume na mungu wao ni mmoja ila wao kwa wao
hawapendani wa hawasaidiani
hatari sana
Munapenda kurukia hayo maneno kwambo musiyoyajua. Munajenga chuki juu ya waislamu tu. Wewe unajuaje kuwa waislamu hawasaidiani??? Au kwa kuwa mzungu kakwambia?
 
dini,mtume na mungu wao ni mmoja ila wao kwa wao
hawapendani wa hawasaidiani
hatari sana
Truth #1: There are millions of Syrians in Gulf countries, but they are not called “refugees”

Obviously, it is ludicrous to assert that while there are 25 Syrian refugees in Kazakhstan and 30 in Mexico, there are none, not a single one, in Bahrain, Kuwait, Oman, Qatar, Saudi Arabia, and the United Arab Emirates. But, as foolish as it seems, the myth was perpetuated by CNN, BBC or Washington Post.

And for that there is a logical explanation. Western media miscount the Syrian refugees because the primary data source, The United Nations High Commissioner for Refugees, does not count the refugees within the Gulf States. These states are not signatories to the Refugee Convention, their refugee relocations are not handled by the UNHCR.

There are 2 million to 3 million Syrians in the Gulf countries, many of whom arrived since the war began, but they are not considered refugees and they are not part of the UNHCR statistics. They are classified as “Arab brothers and sisters in distress” instead of refugees covered by UN treaties. Even though, according to UNHCR officials, only in Saudi Arabia, there were 500,000 Syrian refugees in September 2015.

The government of Saudi Arabia has stated that, since the Syrian conflict began in 2011, it has hosted 2.5 million refugees and has given permanent residency to hundreds of thousands of Syrians. According to Saudi officials, the kingdom „was keen to not deal with them as refugees, or to put them in refugee camps, to preserve their dignity and safety, and gave them complete freedom of movement.” Saudi Arabia also says it has given Syrians access to work, free medical care and education. Over 100,000 Syrian students were being educated in Saudi schools.

The United Arab Emirates also defended its response to the Syrian refugees crisis. According to a statement issued by the UAE government in September 2015, „the UAE has made it one of its foreign policy priorities to address this issue in a sustainable and humane fashion together with its regional and international partners”. The UAE government said it has provided residency permits to more than 100,000 Syrians who have entered the country since 2011, and that more than 242,000 Syrian nationals currently live in the country.

Truth #2: Kuwait, Saudi Arabia, the UAE and Qatar have already donated more than $2.3 billion

The myth of the rich Muslim countries that have taken zero Syrian refugees is often paired with the idea that, although the Gulf state donated some money, the amount is small compared to the aid money handed over by western countries.

This is also a false claim. Kuwait, Saudi Arabia, the United Arab Emirates and Qatar are in the Top 10 countries giving aid to Syrian refugees. The four Gulf states have already given more than $2.3 billion – more than Germany, Canada, Japan, Australia, France and Italy combined.

The Gulf countries have donated to support the U.N. refugee agency’s efforts in countries neighbouring Syria. The UAE has funded refugee camps in Jordan and Iraq giving shelter to tens of thousands of Syrians, while Saudi Arabia and Qatar have donated funds, food, shelter and clothing to Syrians in Lebanon, Turkey and Jordan.

The United Arab Emirates has provided more than 1.98 billion dirham ($540 million) in humanitarian aid and development assistance since 2012 in response to the Syrian crisis. UAE had established a refugee camp in Jordan and one in northern Iraq, according to UAE government officials. The UAE-funded camp in Jordan, known as Mrajeeb Al Fhood, houses more than 4,000 refugees. UAE government believes that it is in the best long-term interest of the refugees to be close to their homes so it will be easier for them to return when the conflict ends.

In September 2015, the Saudi Press Agency announced that Saudi Arabia has provided around $700 million to aid agencies in Syria and has set up clinics at refugee camps.
 
Sasa kwani uongo allah ni shetan mkubwa lucifer na allah hata matendo yao yanalandana unacho kipinga ni nini hapo hata wafuasi wa lucifer matendo yao ni mamoja na wafuasi wa allah yaan hawana utofauti kabisa

Mkuu;
Naona kama ni wale walolaanika kabisa namba moja ni weye. Tena kwa maneno yako haya wastahili Fatwa kabisa. Haya endelea na upuuzi wako huu utauona mwisho wake. Msijitutumue humu jf msikoonwa ila Allah yu akuona na ghadhabu zake utazionja tu weye mwana haram
 
Baada ya ban ya Trump hakika niliona unafiki wa wanadamu na kwa hili la Kuwait utadhihirika zaidi. Ni vema watu wakajua kuwa Mkuu wa nchi yeyote ile anao wajibu wa kulinda maisha ya watu wake na mali zao kwa njia yeyote atakayoona inafaa.

Well said mkuu, cha ajabu kuna baadhi ya Watanzania wanao mtuhumu Trump eti ni mbaguzi!!! Wana-support kundi linalo mpinga Trump huko Marekani kwa visingizio mbali mbali, ukweli wa mambo Trump hana tatizo lolote yeye anatimiza/tekeleza wajibu wake wa kuwalinda Wamerikani dhidi ya magaidi, wapinzani wa Trump kutoka vyama vyote wanatumbukiza masuala ya siasa na chuki binafsi dhidi ya Trump ili watimize malengo yao ya kutaka kumuondoa madarakani Trump kwa njia yoyote under the Sun. Wamepania kufanya mambo ya kudhalilisha Taifa lao.
 
Trump halaumiwi na Watanzania kuwa mbaguzi bali analaumiwa na ulimwengu wote na haswa wananchi wake. Rais anaruhusiwa kulinda nchi yake bila ya kutoka nche ya maadili ya katiba. Nchi za wenzetu walioendelea sio kama sisi huku kwetu Rais ni kama mmiliki wa nchi nzima. Huko wenzetu wanaheshimu katiba ya nchi na hata rais ni lazima atii sheria. Trump ameenda kinyume ya katiba ya Marekani kwa kubagua waislamu na kuwa favor wakiristo. Hapo ndipo Mahakama imetoa stop order ya utekelezaji wa hiyo sheria.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…