umetumia rahaja ya kikongomani (hujaeleweka)[emoji16][emoji16][emoji16]Nine Fanta kazi ya kukanda unga wa chapati kwa bodi maendeleo niliyo nayo ni maiumivu ya viganja utajiri bado ninauota
Unaweza ukawa na mali/assets ila ukawa hauna cash bado pia ni masikini mkuu?
Tuhamie piemu
Nataka kujua tafsiri ya utajiriKwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hojaKama ingekuwa hivyo nadhani idad ya maskini ingepungua. Binafsi si tajiri ni katikati.. ila nikwambie njia ya kufika mafanikio.. si rahis unavyodhan. It takes hard determination na uvumiliv wa kiwango ch lami
Sent using Jamii Forums mobile app
Natumaini ushakuwa tajiri unatupa ushuhuda.Kwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii inatuhusu hata sisi wenye miaka 53Kwanza inahitajika mtaji hata kama mdogo
Pili kufanya kazi kwa bidii
Tatu uvumilivu.kubali kukua kidogo kidogo.mafanikio hayaji kwa siku moja
Wanawake tunaweza !
Sent using Jamii Forums mobile app