The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,778
- 8,228
Tunasubiri breakup itangazwe watu wapate kiki basi iwe imeishaTena extremely used Mbunye. Huyu Ki kabugi sana.
Ana miaka mitano maximum ya kua kwenye pick ya soccer, alichoona kikubwa ni kuwekeza kwenye Mbunye.Tunasubiri breakup itangazwe watu wapate kiki basi iwe imeisha
Hv kile kichambo cha mama yake Aziz kwenda kwa injinia ulikisoma eti?Hamisa Mobeto ni single mother wa watoto wawili na baba zao wapo hai hapa hapa bongo lakini anaolewa kwa heshima zote na mwanaume wa maana kabisa ambaye ameona mabinti wengi ambao sio single mothers ila kampenda Hamisa.
Kuna kasumba ya wanaume wasio waelewa tz wanaosemaga single mothers hawafai kuolewa mara oooh ukitaka kumuoa single mother hakikisha umeona kaburi la baba wa mtoto, kiko wapi? Ni uoga tu na ulimbukeni
Sikuzote nimekuwa kinara kuwatetea Wanawake single mothers, kwamba wanafaa kuolewa na wengi wao hayo ni mapito tu ila sio kwamba hawajitambui na haina maana kwamba wote wanapasha viporo, inategemea na akili ya mtu
Kwenye hili la Hamisa Mobeto mabinti mlio single mothers mjifunze, msikate tamaa na kujirahisisha kwa wapumbavu sababu ya kuwa na watoto, jiwekeni tayari, jiaminini nyie bado ni wa thamani
Keep going, msikate tamaa.
Demu anataka child support tu. Single mothers wote akili moja, awe wa Masaki awe wa Mburahati.Aziz k kapigwa huyu ataenda Kwa bwana wake
Uyo mama ana akili sana. Ki wamemchezea akili. Wanataka hela anayopata aibakishe hapa hapa.Hv kile kichambo cha mama yake Aziz kwenda kwa injinia ulikisoma eti?
Kumbe mama hajakubali ndoa ya mwanae na Hamisa.
Soka ni kazi ya mda mfupi mno inatakiwa utulivu wa hali ya juu sasa jamaa ka bind kwa kahaba😀😀Ana miaka mitano maximum ya kua kwenye pick ya soccer, alichoona kikubwa ni kuwekeza kwenye Mbunye.
Ila sijui tuliwafanya nini sie single mother😶Demu anataka child support tu. Single mothers wote akili moja, awe wa Masaki awe wa Mburahati.
Sisi masikini yetu macho. Sahivi wacha tuonekane haters.Soka ni kazi ya mda mfupi mno inatakiwa utulivu wa hali ya juu sasa jamaa ka bind kwa kahaba😀😀
Mi kataa ndoa ila sidhani kama hawa vichaa wanaooa wanafuata utamu tuIla sijui tuliwafanya nini sie single mother😶
Mbona utamu ni uleule?