Kuwa raia muungwana ( responsible citizen)


K

KATI 2

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2012
Messages
214
Likes
2
Points
35
K

KATI 2

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2012
214 2 35
Kuwa raia muungwana kwa kutekeleza (responsible citizen) kwa kutekeleza wajibu wako na kudai haki zako ukifuata sheria na taratibu zilizowekwa, mamalaka husika serikalini utasikilizwa, lakini unapovunja utaratibu kulia na kushoto, angalia polisi wapo kwa nia ya kuhakikisha amani na utulivu kwa manufaa ya wananchi wote( if you are breaking the rules right and left watch out. The police aren't there just to be admired in their uniforms. God and the government also has an interest in keeping order and he uses them to do it, thats why you must live responsibly.
 

Forum statistics

Threads 1,275,230
Members 490,947
Posts 30,536,270