papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,365 Reaction score 2,064 Jul 26, 2014 #1 wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini
wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini
papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,365 Reaction score 2,064 Jul 26, 2014 Thread starter #2 samahani natumia tecno tochi.unakuta mtu alichochangia kwa mada ni tofauti na mada yenyewe na anajifanya ana welediwajuu
samahani natumia tecno tochi.unakuta mtu alichochangia kwa mada ni tofauti na mada yenyewe na anajifanya ana welediwajuu
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 Jul 26, 2014 #3 We mwenyewe hueleweki acha visingizio.
Ndibalema JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 10,955 Reaction score 4,664 Jul 26, 2014 #4 Sijategemea kama member mzoefu angeanzisha thread kama hii.
Obugwa Izoba JF-Expert Member Joined Nov 16, 2013 Posts 10,487 Reaction score 11,711 Jul 26, 2014 #5 papag said: wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini Click to expand... sijui ulitakiwa kumaanisha nin hapa hebu edht edit tukuelewe
papag said: wana JF.nadhani hata ww inakukera sana pindi unaposoma michango ya wadau wengine toka kwa mada tofauti.kuweni makini Click to expand... sijui ulitakiwa kumaanisha nin hapa hebu edht edit tukuelewe
papag Platinum Member Joined Jul 31, 2009 Posts 1,365 Reaction score 2,064 Jul 26, 2014 Thread starter #6 wadau nitakapokuwa na access ya pc au simu kubwa.nitaeleza kwa urefu.samahani kwa sasa.tuvumiliane