Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,968
Mwaka flani baada ya kumaliza elimu yangu ya kuunga unga ya chuo kikuu, nikapata kazi shirika moja hivi kama trainee.
Kazi yangu kubwa ilikua kukutana na wateja na kutatua changamoto zao. Mshahara wangu haukua mkubwa kihiivyo maana ulikua haujavuka digiti 5 ingawa ulikua unakaribia sana digiti 6.
Pamoja na kwamba sikua na familia wala mtegemezi wa kueleweka zaidi ya maza kumtoa mia mbili mia tatu once in a while wala majukum mengine hyo hela ikawa hainitoshi.
Sasa katika harakati zangu nikaoppa mtoto mmoja anaitwa Consolatha. Huyu mtoto ni mzuri hakuna mfano, wanawake wengine wameumbuka kla huyu alikua amebarikiwa, wote tuseme amina kwa hilo.
Huyu mtoto demand zake zilikua za juu balaa, almost karibu kila baada ya siku 2 anaomba kilo au kilo unusu, kwa kweli nikahisi kuchanganyikiwa. Lakini sikutaka kumuacha huyu mtoto kisa sina hela, nikaamua kuumiza kichwa lakini nikajikuta napata hela nyingi sana nje ya ule mshahara wangu ili kumtunza na kumfurahisha Consolatha.
Moral of the story, ukiwa na mwanamke anapenda hela utajiongeza tu namna ya kupata hela. Ukiwa na mwanamke anaomba tu elfu 20 au 30 kwa wiki huyu atakulemaza. Mimi tokea hapo nilijifunza situmii kabisa wanawake cheap, mwanamke unaempa laki 2 anakushukuru kama umempa uhai huyo hafai.
Vijana tafteni wanawake wapenda hela wachangamshe akili zenu. Lazima utabuni namna nyingine ya kupata hela kukidhi mahitaji ya mrembo wako.