hapana sio vizuri kama upo shuleni maana utakuwa unawaza mapenz badala ya masomo
Kama mmefocus haina tatizo kabisa na tena mnatengeneza muda mzuri kujuana in and out, binafsi nilianza mausiano na mchumba wangu nikiwa form4, tulikuja kukutana kimwili miaka mi4 baadae tukiwa university mwaka wa pili, sasa niko kazini mwaka wa pili na tupo ktk maandalizi ya kuoana, its ok if you are not acting, i mean you are doing it with 1reason
Ha ....
Huu msala sasa
hii ni shule au danguro?aisee school of excellence
![]()