Kuwa na mahusiano na mwanamke aliezaa..

Ni hivi binti yeyote huringa sana akiwa bikra, akishatolewa bikra confidence hupungua kidogo na akishazaa ukweli hujitambua. Kabla ya mwanamke hajazaa ni nadra sana kujitambua. Hata awe na umri kama Miss Natafuta kabla hajazaa shida tupu.
 
Hii ya kujichubua Mkuu hapana, rudisha ile original.

Editing tu asee, kuna walioiba hii avatar wakajifanya ni mimi kumbe sio, watu wanadhani nimefungua ID nyingine kumbe hapana ndio maana nimeweka hii tofauti
 
Ni hivi binti yeyote huringa sana akiwa bikra, akishatolewa bikra confidence hupungua kidogo na akishazaa ukweli hujitambua. Kabla ya mwanamke hajazaa ni nadra sana kujitambua. Hata awe na umri kama Miss Natafuta kabla hajazaa shida tupu.
Hivi kuna uhusiano kati ya bikra na kuringa?

Kuna uhusiano kati ya kutokua bikra na confidence?

Kuna uhusiano kati ya kuzaa na kujitambua? Unamjua mzazi mwenzake na mbunge Sugu? Utasema anajitambua yule?
 
Experience inakusumbua. Inaonyesha wewe ni mgeni kidogo watu kama Asprin Elli wanajua nasema nini
 
Experience inakusumbua. Inaonyesha wewe ni mgeni kidogo watu kama Asprin Elli wanajua nasema nini
Ulichoandika umekiweka too general ni umemaanisha kua bikra atakua anaringa, asiye bikra atapoteza confidence na aliyezaa atajitambua.

Mimi nakuuliza kama vina uhusiano unakimbilia kuongelea experience na kutaja majina ya wadau wengine.

Vipi hauna confidence?
 
Ulishawahi kuwa na watu katika makundi haya? Msichana akiwa bikra ni pasua kichwa mpaka akuvulie utajuta kuzaliwa. Akiwa ashabikriwa huwa kuna unafuu kidogo maana ukimimina ngawila anaweza lainika kirahisi ila akishazaa ntelemko. Umenipata?
 
Mkuu kule siyo kuringa.

Usiichukulie ile kama qummer tu pale ni binti ameamua kukuamini na kukupa mpaka utu wake.

Ndiyo maana sipendi bikra najijua mimi ni disapointment.
 
Mkuu kule siyo kuringa.

Usiichukulie ile kama qummer tu pale ni binti ameamua kukuamini na kukupa mpaka utu wake.

Ndiyo maana sipendi bikra najijua mimi ni disapointment.
Naufunga mdomo wangu
 
Upo sahihi mzaee the same to me hawa madem ambao hawana hata mtoto hawanaga future mapozi mengi yaan they dont care yaan akilini ye ni kukuuliza lini utamuoa wana ruka ruka na wabishi coz anajiona bado analipa mtu yoyote atamtaka lakini kuwa na mwanamke ambae kazaa kiukweli wanajielewa mkizinguana anajua namna ya kukubembeleza na kukuomba msamaha na kukupenda haswa kwasabu anakuona wewe ni mfariji wake kwa changamoto alizo pitia na kuumizwa

Asante kwa uzi mtamuuuu ninae aisee ha ha ha ha ha ha ha no Avatar

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahawara hawaachani,aliyemzalisha ataendelea kumla
Sio kweli mimi nimeolew kwa ndoa tumekaa miaka mi5 nimepata mtoto mmoja... huwa ananitamkiaga swala la kujigijigi nakataaga tena yeye anafanya kazi mkoani akija dar ananipa taarifa anasem nifikie kwako namkatalia imefika stage kasema kama hutaki basi simsomeshi mtoto nikamjibu poa..... nikamwambia kama unataka huu mpapa oa tena kama sio ivyo sahau labda uchore chini K yangu uto...mbe. Na kweli kazila kila kitu kwa mtoto hatoi huduma bahati nzuri mwenyewe najimudu hata simuulizi wala kumkohoa swala la mtoto.

Kama hujielewe mwanamke atakufanya kama tambara la deki wanaosema mtalaka hatongozwi si kweli nakataa.
 
kwa teknologia yote iliyokuwepo bado jamaa alete pesa ya matumizi ya mwanae phyisically! huyo ni mshari tu.
 
kwa teknologia yote iliyokuwepo bado jamaa alete pesa ya matumizi ya mwanae phyisically! huyo ni mshari tu.

Mkuu;
Hata iweje, lazima uende kumwona mwanao hupeleki fweza tu. Sasa ukifika utaziweka mezani! Je, ka huyo mzazi mwenza hayupo utamwachia mume mwenza?? Hali ni tete mkuu
 
Mkuu;
Hata iweje, lazima uende kumwona mwanao hupeleki fweza tu. Sasa ukifika utaziweka mezani! Je, ka huyo mzazi mwenza hayupo utamwachia mume mwenza?? Hali ni tete mkuu

mbona haina noma? mimi nitampelekea mtoto wake kwake akacheze nae na ikifika muda nitakwenda
kumchukua hivyo akitaka atanipa mimi hiyo pesa. au atasema haniamini? ataachaje kuniamini wakati
mimi namtunzia mwanae kwa roho safi kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…