Kuwa na hamu ya kufanya mapenzi kupitiliza kipimo

Unafanya kazi gani
 
Chukua sheria mkononi ndugu yangu ili kuondoa dhahma.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚mabadilikoo chaa
 
ucwaze kuhusu sex mda wote na kama huwa unaangalia video za ngono muda mwingi pia jitahd uache kabisa, kuwa bize na kazi na ucpendelee kukaa peke ako, jambo ilo mbn linawzkn tu km ukiamua kiukweli unataka kuacha, utamzeesha mtt wa wt sex sio maji, ni bora ht anayepg kmj au vwl kwa siku kuliko anayepg sita saba kwa wkt mmj ah ngoma ngumu hy bro
 
Sasa mzee unakwama wapi..
Si umuoe tu mdada wa watu anaona unamtanua tu alafu utakuja um dump apate shida ndo mana..

Ila any way jitahidi tu mbona inawezekana kabisa kuacha hizo mambo, kuwa bize na kazi fanya ibada hilo pepo la uzinzi litatoweka

Hata mimi ilikuwa hivyo mkuu, ila nashukuru aisee huyu binti ni mcha mungu amenitengeneza mpaka sasa nipo safi

Ila inahitaji uvumilivu maana utabaniwa sana unaweza ukahisi hupendwi

Hilo pepo mkuu usiendekeze ohoo!!
 

Huyu mrembo alikukubalia na hatimae kuwa mchumba wako??


Au umepata mwingine?
 
Testosterone ipo juu ila ni umri maana hata mi nikiwa dogo mshale ulikuwa ukisimama kuulaza inakuwa shughuli hadi naupoza na barafu . Cha muhimu kuwa busy uchishe akili issue itakuwa ok
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…