Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 47,695
- 40,898
Practice makes perfect
Unafanya kazi ganiWakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.
Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).
Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .
Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.
1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?
2.Inawezekana kutibika ?
3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?
Msaada inahitaji wakuu.
Chukua sheria mkononi ndugu yangu ili kuondoa dhahma.Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.
Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).
Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .
Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.
1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?
2.Inawezekana kutibika ?
3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?
Msaada inahitaji wakuu.
😂😂😂😂mabadilikoo chaaUmri ndo tatizo. Nilivyokuwa na umri Kama wako ilinitesa pia, mi ilikuwa kila nikilala tu ile naamka mnara na hapo ili Mambo mengine yaendelee ilikuwa Ni sharti nipate dozi kwanza ikishindikana kabisa Basi bao la mkono lilihusika.
Wakati huo nilikuwa tayari nishaoa ila ilifika time wife alinichoka kabisa na kuanza kunipangia ratiba hapo ndipo ugomvi mkubwa ulipoibuka na nikajikuta mikononi mwa kimwana mmoja hivi ambaye kila saa anapokea kichapo dah ndugu yangu nilipofika 30 Sasa nikaanza kuona mie ndo nasumbuliwa na wanawake wengine nikawa nablock kabisa.
Yani for now imefika mahali ninakinai sijui ndo uzee maana kwa nyakati hizi ukihitaji Ni Kama kukimbiza kuku wa kisasa tu.. akigoma kwanza unashukuru afu unafunga zipu unaendelea na kazi
Chukua sheria mkononi ndugu yangu ili kuondoa dhahma.
Ndio mkuuDamu yako group 0 au?
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.
Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).
Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .
Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.
1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?
2.Inawezekana kutibika ?
3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?
Msaada inahitaji wakuu.
Wakuu kutokana na mada hapo juu,Mimi ni 27 yrs old .Ninakuwa na hamu Sana zamani nilidhani ni Jambo la kawaida lkn naona inazidi tu kuongezeka.
Nina mchumba wangu na anajitahidi kunitembelea hata Mara mbili kwa wiki na akija tunafanya mapenzi na saa zingine tunakaa pamoja hata siku tatu hivi coz mm najitegemea na yeye anajitegemea ,tunaweza kufanya sex hata bao 5-6 na hapo nambembereza na kumwandaa coz akifika wa tatu huwa anachoka lakini anafanya tu kiniridhisha tu ,tatizo inakuwa hata tukifanya hivyo kesho nitahitaji hivyo Kama tulivyofanya leo ,kesho hivyo hivyo na ikitokea sijafanya hata siku tatu tu nakosa hata concentration kwenye kazi mpaka nifanye ili niwe vizuri kufanya kazi ,Cha ajabu nachelewa kurelease (kumwaga Kama dk 25-30).
Sasa mchumba wangu ,amesema twende tukapime yawezekana nina homoni nyingi tujue jinsi ya kutatua coz Hali yangu sio ya kawaida ,na nikikataa atachukuwa 50 zake amechoka kuvumilia wakati bado tupo kwenye uchumba .
Alafu mm Sina tendency ya kuwa na waschana wengi kwenye mahusiano ,na hata previous ralations chanzo ni Mimi kupenda sex zaid ya kipimo na kuleta mis understanding .Na tatizo nyingine nikichukuwa hata siku mbili tu sija sex , muda mwingi ni kudindisha tu.
1.Kwa hiyo wakuu, nini tatizo yangu kiafya ?
2.Inawezekana kutibika ?
3.kuna watu wenye tatizo Kama ya kwangu ?
Msaada inahitaji wakuu.
Testosterone ipo juu ila ni umri maana hata mi nikiwa dogo mshale ulikuwa ukisimama kuulaza inakuwa shughuli hadi naupoza na barafu . Cha muhimu kuwa busy uchishe akili issue itakuwa okUmri ndo tatizo. Nilivyokuwa na umri Kama wako ilinitesa pia, mi ilikuwa kila nikilala tu ile naamka mnara na hapo ili Mambo mengine yaendelee ilikuwa Ni sharti nipate dozi kwanza ikishindikana kabisa Basi bao la mkono lilihusika.
Wakati huo nilikuwa tayari nishaoa ila ilifika time wife alinichoka kabisa na kuanza kunipangia ratiba hapo ndipo ugomvi mkubwa ulipoibuka na nikajikuta mikononi mwa kimwana mmoja hivi ambaye kila saa anapokea kichapo dah ndugu yangu nilipofika 30 Sasa nikaanza kuona mie ndo nasumbuliwa na wanawake wengine nikawa nablock kabisa.
Yani for now imefika mahali ninakinai sijui ndo uzee maana kwa nyakati hizi ukihitaji Ni Kama kukimbiza kuku wa kisasa tu.. akigoma kwanza unashukuru afu unafunga zipu unaendelea na kazi
Mkuu kumbe na ww umeona !!tangazo kabisa hili kwa viumbe wenye wanateseka na vibamiaLipia tangaazo.
Mdau naunga hoja tujue shida iko wapi
Na Mimi majibu utakayopata utakua umenisaidia kuuliza mkuu maana mnala unasoma kila mdaa Na kila baadae ya siku moja napiga mzigo
Tafuta charger kimeo itakuwa inachelewesha kujaza full charge