Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ha haa sawa banaKwani mikono itakua imefungwa adi nisiitanguliza?
Ha haa sawa banaKwani mikono itakua imefungwa adi nisiitanguliza?
Wazuri hawaishagi wala... Kila siku wanaongezeka. Angalieni tu msibaki skrepa
Anzeni kujiombea wenyewejamani wanawake mfunge na kutuombea tuko na wakati mgumu eti
Anzeni kujiombea wenyewe
😀😀😀usingefunga wewe nikuwazoea na kila ukimwona mkali unamshukuru mungu kwa uumbaji
How should i conduct my investigations?there's lol just investigate
How should i conduct my investigations?
Will you kindly please fafanuatoo many ways budha learn how to position your self
Ishu kujielewa tu.
Sina maana hiyo.[emoji1][emoji1][emoji1]maana wote hatujielewi sio ?
Ni kipindi cha mpito, itafika wakati utaona ni kawaida.Valee mnatupa wakat mgum sanaaa sio kidogo well sio kwamba namaanisha mens waparamie kila mtu nop ni chemsha bongo tu kuangalia wengine haya matoleo mapya kila siku wanayachukuliaje
skrepa? Teh teh kuskrepishwa ni hatari kwa afya yako.Wazuri hawaishagi wala... Kila siku wanaongezeka. Angalieni tu msibaki skrepa
Ni kipindi cha mpito, itafika wakati utaona ni kawaida.
The beautiful once are not yet born.
Ongozwa na kichwa cha juu na siyo cha chini.
akiwa zaid ya mmoja ?Siyo mens mkubwa ni men