Kuwa msema kweli kwa wanawake

Kuwa msema kweli kwa wanawake

Mmmh.... Imefikia mwisho eti eeeee?

Swali...

Mwandishi amefaulu au hajafaulu?
 
INAENDELEA

Na... Kuiweka katika simu yake kwa kua simu yake ilikua na uwezo wa laini mbili na anakwenda kwa jirani na kuazima chaji na kuiweka chaji ile simu, anatoka nje na kukaa barazani kwao akiwaza na mara simu yake inaingia meseji na anapoangalia ni upande wa laini ya ile laini ambayo si yake " Tafadhali naomba unitumie namba yenye jina la MUHIMU, nakuomba kaka yangu unitumie ni namba muhimu" akiwa bado anaitazama meseji simu ikawa inaita kupitia laini ile ile namba iliotuma meseji na anapokea na sauti ya kike ilisikikka " Nitakupatia kiasi cha shilingi 50,000 kam utaniletea hiyo simu na laini ake kwa mda huu na nitalipia gharama za usafiri hadi nilipo" David anamjibu "sawa dada yangu nitakuletea pasipo kuhitaji malipo ila kwa sasa kuna mvua kubwa na simu imezima chaji na hii laini nimeweka katika simu yangu"... Unaweza kuchukua hata tax au bajaji na unifuate nilipia gharama zote ila naomba uje kwa muda huu " alisema yule dada" ....David anamjibu sawa nitafanya hivo na anapewa maelekezo ya mahala pa kwenda na anakwenda kuitoa simu chaji na kuirudisha ile laini kwenye simu yake na kuiwasha na wakati mvua ilikua inaanza kupungua na anafikiria usafiri wa kufika huko na anaona ni bora atumie usafiri wa pikipiki na anaamua kumpigia rafiki ake ambaye ni dereva wa bodaboda na mojamoja wanaanza safari na kufika huko lakini hakumwambia rafiki kama anapeleka simu aliyoiokota na wanafika hadi katika duka la nguo za wanawake na anashuka na kuingia hadi ndani ya duka na anakutana na dada na mvulana wakiwa wanapigana mabusu kwa kutumia ndimi zao na David anaguna na kuwastua watu wale na wanastuka na kuacha walichokua wakifanya na anapata nafasi ya kuona tena sura ambayo aliyokua ameiona kwenye kituo cha mabasi na akakumbana nae na kitendo cha kuwaona wakiwa katika hali ile na yule mwanaume kilimfanya uso wake uonekane wenye kukosa amani na anaingia mfukoni na kumkabidhi simu yule dada na kumwambia huo mzigo wako na naomba unipatie ulichoniahidi huku sura yake ikionyesha mwenye kua na hasira usoni, Yule dada anapokea na kuuliza gharama za usafiri ya pikipiki na David anamwambia ni shilingi 10,000 na yule dada anaingia kweny droo na kumkabidhi David kiasi cha 60,000 na kumshukuru sana kwa uaminifu wake na kumwambia hata hiko kiasi cha pesa alichompatia anahisi hakitoshi na anampa mkono na kumwambia asante sana kaka yangu wewe ni kama mdogo angu na nashukur kwa ukarimu wako na David anapokea pesa na kuaga na anafungua mlango na kumfuata rafiki ake na kupanda pikipiki na kuondoka......itaendelea
Nasubiri muendelezo
 
Mkuu una NA nyingi sana zinazingua kwenye uandishi wako

na ..na..na..na na..na ..na

Achana na hizo na.
 
Story kama hizi Facebook kwenye magroup tushazisomaga mpaka tu kachoka.
 
INAENDELEA
Anapanda pikipiki na kuondoka, anafika nyumbani na kumkabidhi rafiki kiasi cha shilingi 20,000 na kuendelea na shughuli zake za nyumbani kama kawaida ila inapofika usiku akijiandaa kulala alianza kuangalia namba za simu zilizokua zimepigwa kwenye simu yake kwa ajili ya kuzifuta kwa kuwa hiyo ilikuwa ni kawaida kufanya hivyo kila ikifika muda wa kulala, katika kufuta namba kutoka moja kwenda nyingine akaifikia namba ya yule aliyempelekea simu yake lakini kabla ya kuifuta alitamani ampigie na kumueleza kitu ambacho anakihisi kwenye moyo wake anapoiona sura yake, alijiuliza kwanini mapigo ya moyo wake hua yanakua si ya kawaid hata tu pale anapoanza kumfikiria mtu ambaye amemwona kwa siku moja, alifikiria jinsi mazingira aliyomkuta nayo pale dukani na yule mwanaume mwingine aliona kumpigia usiku ni jambo ambalo si zuri lakini upande wa pili wa nafsi yake ukimwambia piga simu umueleze na usibaki na kitu chochote rohoni, anaamua kupiga simu na inapokolewa kwa haraka inasikika sauti ya kike na hapo David anajitambulisha kuwa yeye ni yule kijana aliyemletea simu yake na kuna jambo anahitaji kumueleza kama ataweza kumsikiliza, yule mwanamk alimjibu sawa nakusikiliza, David anamwambia " Dada yangu mimi kijana ninayeishi na wazazi wangu na nimemaliza elimu shahada ya ualimu kama hutojali kwanza kunifahamu na sababu pekee iliyonifanya nikupigie simu muda huu ni kutaka kukueleza kuwa kwa mara ya kwanza nimekuona mapigo ya moyo yalianza kubadilika na taswira ya sura yako ilibaki kwenye akili yangu na nilihisi kuna kitu kutoka kwako kinanivuta kama sumaku imekaribia chuma yani kwa kifupi moyo wangu na akili yangu imekuchagua nikuhifadhi ndani mwao na hilo nimerithibisha nilipofika hapo dukani kwani nilipokuona tena kwa mara ya pili ile hali ilijirudia tena lakini kutokana na mazingira niliokukuta nayo pale nilishindwa hata kupata nguvu ya kukueleza, hakika ni ukweli usiopingika kuwa wewe una kitu ambacho kitanifanya mimi kuwa na furaha" David ananyamaza kuongea na ukimya unatawala na anamstua kwa kusema HALLO na yule mwanamke anamwambia nakusikiliza endelea, David anaendelea " Lakini kutokana na hayo yote niliyokueleza natumaini utakuwa umenielewa na sina nia ya kukulazimisha kuamini maneno hayo ila ninafurahi kwa kupata muda nmwa kukueleza kile kilicho kwenye moyo wangu na akili yangu na natumaini utakua umenielewa, ni hayo tu niliyotaka kukueleza kwa muda huu"...Yule mwanamke anamjibu sawa nimekuelewa vizuri lakini la kwanza unatakiwa kufahamu mimi kuwa mimi ni mke wa mtu na hapa unapoongea mume wangu anakusikia kwahiyo hilo swala unalolifikiria halitawezekana lakini hilo lisikufanye ukakata tamaa leo umekutana namimi na kesho unaweza kukutana na mwanamke mwingine na ukajisikia hivyo hivyo kama kwangu na Mungu atakujaalia kwa hilo. David anabaki na sura yenye kukata tamaa na huku akijisemea moyoni amechelewa kukutana na mwanamke huyo na anamuaga na kukata simu na kuvuta shuka na kuanza kulala huku akiwa na mawazo ......inaendelea
 
Back
Top Bottom