teh teh visebengo wakutembelea nyota za watu
bando lake usimpangie cha kupost as if wewe ndo mmiliki loooh
Naona unavyoongeza sifuri.Nipo mimi KK mzee wa 60
ha ha ha ha niliitwaga hata mimi ivo nimi nawaita kwakweli.ahahha dah hilo neno lamiaka jaman hv lipogo mama alikua ananiita sana hivo WE KISEBENGO? hahahahaha uwiii nimeitwa nikiwa na 6-10 yrs mnooo!
ha ha ha ha niliitwaga hata mimi ivo nimi nawaita kwakweli.
afu we ndo mange?
unamajibu ya kistaarabu tofauti na mange wa FB INST n.k
Mhenga mwenzangu!
Kasema tustay tune, ana breaking nyuzi!hahahaha aisee !hapana mie sio mange mwaya ni team mange tu shogaa !
Tayari huko. Kama kawaida yakeyeah twamsubiria kwa hamu