Kuwa mkweli, ulizaliwa kipindi gani hapa?

teh teh visebengo wakutembelea nyota za watu

bando lake usimpangie cha kupost as if wewe ndo mmiliki loooh

ahahha dah hilo neno lamiaka jaman hv lipogo mama alikua ananiita sana hivo WE KISEBENGO? hahahahaha uwiii nimeitwa nikiwa na 6-10 yrs mnooo!
 
ha ha ha ha niliitwaga hata mimi ivo nimi nawaita kwakweli.
afu we ndo mange?
unamajibu ya kistaarabu tofauti na mange wa FB INST n.k
 
hahahaha aisee !hapana mie sio mange mwaya ni team mange tu shogaa !
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom