Kuwa miwazi bwana afande!!!

tamimusalim

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
1,822
Reaction score
501
Ni dhahili kabisa polisi huyu hakuitaji kupanda pikipiki ila alikuwa na lake jambo!! Duuu hivi!!!
 
Huyu polisi inaonyesha ana penda ule mtandao pendwa.Hadi kalegea ka mlenda.
 
DEREVA: Afande ndo nin sasa hiyo.
AFANDE: Tulia Abdadula Dula kaamka na si kawaida yake ,aisee.
DEREVA: Hasa yani nihusu nini kama vipi, shuka.
AFANDE: Nipeleke kwangu basi ,maan jana na mke wangu tumeangaika kweli kumuamsha huyu mshkaji.
DEREVA: Nimekushtukia wew popobawa shhka niondoke.
AFANDE: Unajua unapinga amri ya serikali,ntakuchaji kwa kosa la treason.

Itaendelea kituoni
 
Huyu jamaa mpaka anafika mimba anayoo!!!
 
Afande hapo inabeba maana ya pili ya neno Afande....
 
Afande anapata chaji nokia ya tochiii iyooo
 
Hizi Kazi zina Changamoto zake,Sipati picha kama dereva wa hio bodaboda angekuwa Mwanamke..
 
Hii picha haipendezi kimaadili,haikustahili kujadiliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…