nataka ni mcc afande yoyote,kuna aliye humu?anze kazi mara moja. Ilikufikia jumatatu awe ameleta mrejesho.Kuna msg inasambaa, nahisi kwa wale watu wanaoomba kazi kupitia mitandaoni, CV zao huwafikia hata wasio wahusika.
Hello, naitwa Mr. Kauga from NPC ENVIRONMENT NGO, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for PROJECT OFFICER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home), ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa tsh. laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali na majibu ntakutumia kwenye email leoleo, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.
MTU HUYU ANATUMIA NO. 0679 977 193
usishawishike kutoa hele hiyo, wengi wamelizwa.
Aisee, nimepigiwa na namba kama hii Jana Ila sikuona na wala nilivokuwa missed call sikuhangaika kumtafta. Kumbeeee
Dah ... kama kuna wengi wamelizwa...na huyu mnampa heshima ya kuwa ni tapeli.. basi kuna vilazers wengi ndani ya jamii yetu. 🙂Kuna msg inasambaa, nahisi kwa wale watu wanaoomba kazi kupitia mitandaoni, CV zao huwafikia hata wasio wahusika.
Hello, naitwa Mr. Kauga from NPC ENVIRONMENT NGO, tupo kwenye kikao tunapitia cv za kuinterview for PROJECT OFFICER post, CV yako ni nzuri nitakusaidia upate hii kazi kwa masharti yafuatayo, salary ni 1,300,000/=(take home), ukilipwa mshahara wa kwanza utanipa tsh. laki 4 kwa kukusaidia, na kabla ya saa 10 leo jioni uwe umetuma tshs. elfu 25 by tigopesa kwenda namba hiihii ili nimpe mtu wa interview anipe maswali na majibu ntakutumia kwenye email leoleo, nitakupigia simu nikitoka kikaoni.
MTU HUYU ANATUMIA NO. 0679 977 193
usishawishike kutoa hela hiyo, wengi wamelizwa.
Chief wajinga hawaishi labda bahari ikaukeWabadiri mbinu sasa hii ni ya zamani sana.
Dah... HESHIMA ni SIFA tu mwana.. inaweza kuwa nzuri au mbaya kutegemea na imani/tafsiri yako.mkuu,,, utapeli ni HESHIMA?
Una haki ya kutapeliwa kwa kuwa wewe ni MKWEPAKODI.Aaaaaah umechelewa kuleta taarifa mimi nimeshatuma aisee, bora ungekaa kimya