Kuwa makini na simu yako kama unachepuka

Kuwa makini na simu yako kama unachepuka

Mtoto wa nzi

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
10,785
Reaction score
20,061
Kuna jamaa tunapiga nae kazi kagombana na wife wake wametengana almost mwezi wa pili sasa sasa leo tunapiga tungi katinga yaani kalewa si akaanza kusimulia kisa iko hivi;

Kakuta kwenye simu ya mkewe kuna video mke wake anapigwa mzigo. Jamaa aliekuwa anampiga kazi mkewe pia ni mtumishi ila ni mhudumu wa ofisi jamaa ni afisa mipango na inavyoonyesha.

Kwa mujibu wake)mke wake alikua hajui kama anarekodiwa na jamaa kamrekodi wife wee mwisho ndio akajionyesha yeye.

Aisee kuweni makini na simu zenu ikibidi mzizime kabisa
 
Mmmmh! Ndio ndoa za Sku hizi. Kila kukicha vimbwanga haviishi.. Shetan pamoja na maovu yake yote lakn anamwogopa binadam kwa maovu tunayofanya
 
! loh! Kumbe wake zetu wanapigwa mizigo maofisini...!
 
Duh! Ama kweli dunia imevaa kanga.
 
Nachukia sana watu wanaorekodi wenzao wakati wa kufanya mapenzi. Hivi huo muda wa kurekodi unaupata wapi katikati ya utamu wote ule. Yani mwenzio anashughulika wewe mimacho mikavu "busy" kabisa unarekodi.
 
Hahaha unarecord to~ huwezi jus huenda anayerekord xio mzimaa kiafya
 
Inaskitisha dah mtu kama huyo anahitaji hata counselling vyenginevyo hiyo ishu kila akikumbuka itakuwa inamvuruga
 
Back
Top Bottom