Zogoo da khama JF-Expert Member Joined May 20, 2013 Posts 640 Reaction score 615 Apr 11, 2018 #1 Wenye magari mnapokwenda kujaza mafuta punguzeni na kuacha kila kitu mjue moja la kujaza mafuta, wenzetu sio wote Ni waaminifu. We endelea na sim yako mama geji itapanda
Wenye magari mnapokwenda kujaza mafuta punguzeni na kuacha kila kitu mjue moja la kujaza mafuta, wenzetu sio wote Ni waaminifu. We endelea na sim yako mama geji itapanda
C CRYPT JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 391 Reaction score 838 Apr 11, 2018 #2 Jamaa wanacheza na 'fursa'. Hapo labda dereva ashuke ndio ataushtukia mchezo. Side mirror zimeshapigwa 'pini'
Jamaa wanacheza na 'fursa'. Hapo labda dereva ashuke ndio ataushtukia mchezo. Side mirror zimeshapigwa 'pini'