Kuwa makini na hili utanishukuru

Kuwa makini na hili utanishukuru

Dkt Mwijuma

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2023
Posts
205
Reaction score
614
Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri

Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk.

Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja mzuri matata hapo chuoni na tulielewana sana, lakini ilitokea kiongozi mmoja akamuelewa yule mdada kiukweli niliishi vizuri sana maana yule kiongozi alikuwa anahonga sio mchezo

Japo wakati wote yule kiongozi yupo na yule mdada mimi pia nlikuwa bado nipo nae, hivyo alikuwa akiwa hana ratiba na kiongozi basi yupo na mimi na bahati mbaya kiongozi alikuwa hana mda

Pesa ilikuwa ni nyingi sana, kuna mda mdada kumuenjoy kiongozi alikuwa anafanya bookings za room yeye kama yeye na anamuita kiongozi kuwa ana hamu nae hivyo aje sehemu hiyo

Aisee mapenzi acheni nyie, pamoja na mimi kunufaika kwa kupata pesa nilianza kuona wivu nikaanza kumuchukia kiongozi, nikaanza kupanga njama za kumuharibia picha

Niliwahi kumuamulisha mdada afanye booking na kiongozi wake aje kisha mimi nikatangulia kwenye hiyo room kurekodi video na nilifanikiwa

Kiongozi hakuwa makini kabisa na usalama wake yeye alijari tu location ya hotel na huenda aliuamini sana ulinzi wa hotel

Kwenye hili la kuvujisha picha ama video lipo kwenye milengo miwili tu ambayo yote inaondolewa kwa njia moja tu

Mlengo wa kwanza ni wewe kuwa na uadui na watu kisha wakaamua kumtumia mpenzi wako kukuchafua
Hawa wadada wa mjini wapo kwa ajili ya pesa, hata kama una mpa pesa kiasi gani akipata dau jingine tu anachukua hivyo anaweza kufanya chochote akipewa dau

Mlengo wa pili ni kutaka umaarufu kwa mtu, una mdada lkn anataka kujulikana kupitia wewe kwamba video zenu zikienda atajulikana

Njia ya kuzuia ni moja tu ni kuhakikisha mara zote mnapokutana booking unafanya wewe, usijiingeze kwenye tabia ya kwenda popote alipopanga mtu wako
 
Ulikosabujasiri wa kiume na kukubali kushare!!

Ongezea njia ingine ya kutengeneza picha za kuungaunga Ili kutengeza kashfa.

Gwajima hakuhusika na uchafu huo.
 
Sasa kwa nini uzi wako sehemu kubwa umetumia kuandika mlivyokuwa mnahongwa wewe na hawara yako badala ya kueleza mbinu bora za kuepuka udhalilishwaji?
 
Kinga bora zaidi kwa janga kama hili ni kuchukua tahadhari zote kabisa za kiusalama muda wote kwa kuepuka mambo yote ambayo yanaweza ku-breach privacy.
Hata baadhi ya hotels, Lodge au Guest House siyo salama kwa privacy kwani vyumba pia vinaweza kuwa bugged au kutegwa makamera ya Siri kubwa ambazo siyo rahisi kuzi-detect.
 
2B9X.gif
 
Uliwachukua kideo ukiwa uvunguni unashuhudia huo uzinzi mkuu?
Na je hicho kideo ulikipeleka wapi?
Ulikiona mwenyewe?
 
Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri

Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk.

Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja mzuri matata hapo chuoni na tulielewana sana, lakini ilitokea kiongozi mmoja akamuelewa yule mdada kiukweli niliishi vizuri sana maana yule kiongozi alikuwa anahonga sio mchezo

Japo wakati wote yule kiongozi yupo na yule mdada mimi pia nlikuwa bado nipo nae, hivyo alikuwa akiwa hana ratiba na kiongozi basi yupo na mimi na bahati mbaya kiongozi alikuwa hana mda

Pesa ilikuwa ni nyingi sana, kuna mda mdada kumuenjoy kiongozi alikuwa anafanya bookings za room yeye kama yeye na anamuita kiongozi kuwa ana hamu nae hivyo aje sehemu hiyo

Aisee mapenzi acheni nyie, pamoja na mimi kunufaika kwa kupata pesa nilianza kuona wivu nikaanza kumuchukia kiongozi, nikaanza kupanga njama za kumuharibia picha

Niliwahi kumuamulisha mdada afanye booking na kiongozi wake aje kisha mimi nikatangulia kwenye hiyo room kurekodi video na nilifanikiwa

Kiongozi hakuwa makini kabisa na usalama wake yeye alijari tu location ya hotel na huenda aliuamini sana ulinzi wa hotel

Kwenye hili la kuvujisha picha ama video lipo kwenye milengo miwili tu ambayo yote inaondolewa kwa njia moja tu

Mlengo wa kwanza ni wewe kuwa na uadui na watu kisha wakaamua kumtumia mpenzi wako kukuchafua
Hawa wadada wa mjini wapo kwa ajili ya pesa, hata kama una mpa pesa kiasi gani akipata dau jingine tu anachukua hivyo anaweza kufanya chochote akipewa dau

Mlengo wa pili ni kutaka umaarufu kwa mtu, una mdada lkn anataka kujulikana kupitia wewe kwamba video zenu zikienda atajulikana

Njia ya kuzuia ni moja tu ni kuhakikisha mara zote mnapokutana booking unafanya wewe, usijiingeze kwenye tabia ya kwenda popote alipopanga mtu wako
ni huzuni sana, Mungu alituumba ili tumwabudu na tuishi katika utakatifu, lakini badala ya kutafuta utakatifu, tunapambana kuficha aibu ya mwili huku aibu ya roho ikiwa wazi mbele za Mungu. hatumwogopi Mungu, hatuoni aibu mbele za Mungu, tunaona aibu mbele za wanadamu. MWOGOPENI MUNGU.

ZABURI 14:2 INASEMA:
2Toka mbinguni BWANA aliwachungulia wanadamu,
Aone kama yuko mtu mwenye akili,
Amtafutaye Mungu.

WAEBRANIA 12:14 INASEMA: 14 Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na huo utakatifu, ambao hapana mtu atakayemwona Bwana asipokuwa nao; 15 mkiangalia sana mtu asiipungukie neema ya Mungu; shina la uchungu lisije likachipuka na kuwasumbua, na watu wengi wakatiwa unajisi kwa hilo. 16 Asiwepo mwasherati wala asiyemcha Mungu, kama Esau, aliyeuuza urithi wake wa mzaliwa wa kwanza kwa ajili ya chakula kimoja. 17 Maana mwajua ya kuwa hata alipotaka baadaye kuirithi baraka, alikataliwa (maana hakuona nafasi ya kutubu), ijapokuwa aliitafuta sana kwa machozi.
ZABURI 33:13
13 Toka mbinguni BWANA huchungulia,
Huwatazama wanadamu wote pia.
14Toka mahali pake aketipo
Huwaangalia wote wakaao duniani.
15 yeye aiumbaye mioyo yao wote
Huzifikiri kazi zao zote.

Wanadamu wengi WANAPAMBANA kujificha wanapozini/kufanya uasherati, au hata kujikinga kwa condom, wanaogopa kuaibika kwa wanadamu, au kupata magonjwa, ila hawamwogopi Mungu anayewaona kila wanachokifanya, naye amewakataza wasizini. hii ni dharau kubwa sana kwa Mungu, sawa na mtoto wako uliyemkataza asifanye jambo baya akaogopa na kuheshimu wageni, ila anamdharau baba yake mzazi na kufanya makosa uliyomkataza mbele yako. just think about it. muendapo kuzini, jueni Mungu anawaona na anawakasirikia, mnamuudhi Mungu.

ZAIDI YA HAYO YOTE, KUMBUKENI HILI. MATENDO 17:31
30 Basi, zamani zile za ujinga Mungu alijifanya kama hazioni; bali sasa anawaagiza watu wote wa kila mahali watubu. 31Kwa maana ameweka siku atakayowahukumu walimwengu kwa haki, kwa mtu yule aliyemchagua; naye amewapa watu wote uthabiti wa mambo haya kwa kumfufua katika wafu.
na kwenu mliookokoka mnalilicha JIna la Bwana, jiepusheni na uasherati, mwogopeni Mungu anayetisha kuliko hata aibu ya kupigwa picha au kuugua magonjwa. MALAKI 4:2 INASEMA, Lakini kwenu ninyi mnaolicha jina langu, jua la haki litawazukia, lenye kuponya katika mbawa zake; nanyi mtatoka nje, na kucheza-cheza kama ndama wa mazizini. 3Nanyi mtawakanyaga waovu; maana watakuwa majivu chini ya nyayo za miguu yenu; katika siku ile niifanyayo, asema BWANA wa majeshi.

sisi sote tulikuwa wazinzi, lakini Mungu ametubadilisha, haujachelewa, ukitubu dhambi kwa kumaanisha kuziacha leo, atafuta zote hata kama ulizini na watu 1000 utakuwa safi. ameahidi hilo na utaurithi uzima wa milele. kama ukifanya shingo yako kuwa ngumu, jua mshahara wa dhambi ni mauti bali karama ya Mungu ni Uzima wa milele kwa Yesu Kristo Bwana wetu. Nakuombea kwa Mungu upate neema ile Mungu amenineemia mimi. Mungu akusaidie.
 
Kumekuwa na matukio ya kuvuja sana kwa picha ama video za maudhui ya ngono, na hili linawapata sana watu mashuhuri

Mfano Gwajima, Chongolo, Nyalandu nk.

Nikikumbuka nikiwa chuo niliwahi kuwa kwenye mahusiano na mdada mmoja mzuri matata hapo chuoni na tulielewana sana, lakini ilitokea kiongozi mmoja akamuelewa yule mdada kiukweli niliishi vizuri sana maana yule kiongozi alikuwa anahonga sio mchezo

Japo wakati wote yule kiongozi yupo na yule mdada mimi pia nlikuwa bado nipo nae, hivyo alikuwa akiwa hana ratiba na kiongozi basi yupo na mimi na bahati mbaya kiongozi alikuwa hana mda

Pesa ilikuwa ni nyingi sana, kuna mda mdada kumuenjoy kiongozi alikuwa anafanya bookings za room yeye kama yeye na anamuita kiongozi kuwa ana hamu nae hivyo aje sehemu hiyo

Aisee mapenzi acheni nyie, pamoja na mimi kunufaika kwa kupata pesa nilianza kuona wivu nikaanza kumuchukia kiongozi, nikaanza kupanga njama za kumuharibia picha

Niliwahi kumuamulisha mdada afanye booking na kiongozi wake aje kisha mimi nikatangulia kwenye hiyo room kurekodi video na nilifanikiwa

Kiongozi hakuwa makini kabisa na usalama wake yeye alijari tu location ya hotel na huenda aliuamini sana ulinzi wa hotel

Kwenye hili la kuvujisha picha ama video lipo kwenye milengo miwili tu ambayo yote inaondolewa kwa njia moja tu

Mlengo wa kwanza ni wewe kuwa na uadui na watu kisha wakaamua kumtumia mpenzi wako kukuchafua
Hawa wadada wa mjini wapo kwa ajili ya pesa, hata kama una mpa pesa kiasi gani akipata dau jingine tu anachukua hivyo anaweza kufanya chochote akipewa dau

Mlengo wa pili ni kutaka umaarufu kwa mtu, una mdada lkn anataka kujulikana kupitia wewe kwamba video zenu zikienda atajulikana

Njia ya kuzuia ni moja tu ni kuhakikisha mara zote mnapokutana booking unafanya wewe, usijiingeze kwenye tabia ya kwenda popote alipopanga mtu wako
Kwa lugha nyingine na rahisi kabisa by implication HUYO KIONGOZI ALIKUWA ANAWWTAFUNA WETE WAWILI . Kumtegemea hela ya mwanamke aliyegongwa maana yake na wewe umegongwa
 
Cheo chako wewe ni king'ast.

Unamsindikiza hawara yako kuliwa, then mkirudi mnagawana pesa na kuendelea na maisha kama katoka kuokota.

Unajisahaulisha alivyotoka kufanywa nawe unaomba penzi na kupewa!

Dunia hii haipo fair kabisa, ukikutana nao barabarani na kimuonekano walivyo smart sasa, waezadhani umekutana na binadamu, kumbe umekutana na shetwani.
 
Back
Top Bottom