InakuwajWakituma message waananza na "Hi" Sasa jichanganye uwajibu. Mbona utaelewa tu.
Ni no hizi ?
+62 878-6415-42779
+212 608-718099
Wamenicheki this week with same intention
Mpaka najiuliza wanapata wapi namba zetu tena za whatsapp
Me nikajibu maana Nina watu wa nje tunawasiliana nashangaa ananiambia habari za fursa sijui nn nikablock hukoHata mie wamenicheck week hii
Moja inaanzia +62 nyingine +212 ...zote wametuma "hi" sijajiuliza mara mbili kuhusu block