Kuwa makini katika maamuzi

Mbaya wanakesha kwenye mikesha huku tayari wana mtoto na wanawasiliana na baba ya mtoto,

alaf hapo hapo wanahitaji mume mpya kupitia maombi,

Hapo dada zangu huwa nashindwaga kuwaelewa kabisa!
 
jaman hzi post nyingine muwe mnasema kuwa mmekoti sehemu.. mwenzenu anajipinda kuandikaaaa mtu una copy na kupest tu!!
 
malisa godlisten... mtafuten huyu mtu FB... ana maujumbe ya maana sana...!!
 
huu ujumbe ni ujumbe bora wa mwaka. hongera mleta uzi nimepata kitu cha maana hadi nafsi imefurah...
 
Ubarikiwe kwa ujumbe huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…