johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,638
Nafuatilia tu orodha ya waliowahi kuwa makatibu wakuu wa CCM na changamoto walizowahi kukutana nazo na namna walivyopambana navyo.
Nimewafikia Mzee Mangula na mzee Makamba na nimempitia kidogo yule Wilson Mkana na kwa mbali komredi Kinana.
Kiukweli kuwa Katibu mkuu CCM yataka moyo.
Maendeleo hayana vyama!
Nimewafikia Mzee Mangula na mzee Makamba na nimempitia kidogo yule Wilson Mkana na kwa mbali komredi Kinana.
Kiukweli kuwa Katibu mkuu CCM yataka moyo.
Maendeleo hayana vyama!