FirstLady1 JF-Expert Member Joined Jul 29, 2009 Posts 16,789 Reaction score 5,418 Dec 31, 2011 #21 Lizzy said: Nikukopeshe? Mi nna pesa ila nimegoma kutoka ili nisitumie. Click to expand... Lizzy mie pia naomba mkopo ,niko ndani sina hata ten,mkopo una riba or?
Lizzy said: Nikukopeshe? Mi nna pesa ila nimegoma kutoka ili nisitumie. Click to expand... Lizzy mie pia naomba mkopo ,niko ndani sina hata ten,mkopo una riba or?
AshaDii Platinum Member Joined Apr 16, 2011 Posts 16,189 Reaction score 18,117 Dec 31, 2011 #22 Kibunango said: Huyo Kamanda haitaji starehe ya dakika nne, anahitaji maji ya dhahabu! Click to expand... Hio nilompatia inatoa mwongozo wa usiku Mzima.... Toka kujiandaa mpaka kuchee.....lol Hata hivo namshaurie asome Signature yako...
Kibunango said: Huyo Kamanda haitaji starehe ya dakika nne, anahitaji maji ya dhahabu! Click to expand... Hio nilompatia inatoa mwongozo wa usiku Mzima.... Toka kujiandaa mpaka kuchee.....lol Hata hivo namshaurie asome Signature yako...
jmushi1 Platinum Member Joined Nov 2, 2007 Posts 26,507 Reaction score 25,782 Dec 31, 2011 #23 Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe? Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol
Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe? Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Jan 2, 2012 Thread starter #24 jmushi1 said: Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe? Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol Click to expand... Ukiwa starehe unajikataa na ishu za JF zinazoumizwa kichwa.......
jmushi1 said: Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe? Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol Click to expand... Ukiwa starehe unajikataa na ishu za JF zinazoumizwa kichwa.......
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Jan 5, 2012 Thread starter #25 Hii weekend ina dalili mbaya JF mpaka saa hii?
mafiakisiwani JF-Expert Member Joined Feb 19, 2011 Posts 833 Reaction score 620 Jan 7, 2012 #26 hahahah,kwahiyo wikiendi tusitembelee hii forum?
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 138 Jan 7, 2012 #27 kazi kweli ungekuwa member wa bar yenye membeship ungekunywa kwa mkopo
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Feb 26, 2012 Thread starter #28 weekend rumba sana hii.....raisi mwanajiografia