Hii kitu niliiona kwenye mining watu walikua wanabankiziwa kesi enzi hizo na wabongo wenzetu wanashabikia, then wanaambiwa wamekua blacklisted kwenye mining zote za Tanzania. So sijajua kama ilikuia na effects kwao maana sikuweza kuwasiliana nao mpaka sasa nijue what has been the outcome /consequences kwao