Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 381
Jamani nifanyaje kuhepuka hii kadhia yani Nina tatizo la kuvutiwa na mijimama yani kila nkikutana na mmama kuanzia miaka 40 huwa navutiwa nao kimapenzi ila nshindwa kuwaambia ukweli
Huwa unawauliza umri?Jamani nifanyaje kuhepuka hii kadhia yani Nina tatizo la kuvutiwa na mijimama yani kila nkikutana na mmama kuanzia miaka 40 huwa navutiwa nao kimapenzi ila nshindwa kuwaambia ukweli
Kwani wewe dada zako wana umri gani?Ashakumu si Matusi..
Mama yako ana umri gani?
Iliyojazia jazia mizigo..Mimama mikubwa mikubwa
hahahahaha hatari sanamkuu tuma pesa humu 0715653610 nikuunganishe na mishuga mamy ya mtaa wetu jina litatokea SALIMU BULICHEKA trust me
Ndy shekh mikubw mikubwaIle mizigo Yetu Wa Africa
Wenye fikra hizi hawana chapaa!! Kama unabisha akutumie mm nitakutumia mara 2 ya alichotoa yy!!!mkuu tuma pesa humu 0715653610 nikuunganishe na mishuga mamy ya mtaa wetu jina litatokea SALIMU BULICHEKA trust me