fighter criss
New Member
- Jun 18, 2016
- 2
- 0
Hali isiyo ya kawaida mwekezaji mmoja ambaye anawekeza maeneo ya pugu kwa sadala wa kampuni ya COSMOS, amevamia makazi ya watu na kuvunja nyumba takribani saba kwa kutumia mabaunsa zaidi ya 50.
Hadi sasa Kuna baadhi ya wakazi hawana pa kulala, kwa madai ya mmiliki wa eneo anasema anaviwanja nje ya ukuta wake lakini anashindwa maelezo order ya kuvunja. Nani kampa mamlaka hayo? Maana wakazi hawakupewa notisi yoyote, waziri husika sikiliza kilio hiki cha wakazi wa Pugu kwa Sadala mtaa wa zavala.