Kuvunjika kwa uchumba

Ahaaahaaaahaaa


Aseee
 
Mahari lazima irudishwe vinginevyo huyo ni mkeo. Vijana wakizazi kipya mambo haya ya jadi hamuelewi mnachukulia poa..
 
Au ndio weye? Umekuja na gia namba 5.. tueleze ilikuajekuaje ukampiga chini mpenzi wako?

Saint Anne
Ushawahi kupata feelings za kumchoka mtu? Yaan unaanza kumuona wa kawaida alafu wa kawaida tena!!
Hakushtui tena, hamna maajabu. Unamuona yupo yupo tu kama zezeta!!🤣🤣

Stage hii malaika wa Bwana wasipoingilia kati ndiyo unakuta yanatokea kama ya mleta mada.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…