ikisimama panda
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 2,560
- 1,898
ikisimama usipoteze muda panda fastaNimekua nikijiuliza sana ni kwanini haiwezekani kuvunja yai kwa kulibana vertically katikati ya viganja?
Pana sayansi gani hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
ndo hapo sasa sie tunavunja nazi na wala hatunionyeshi.Watu wanavunja matikiti kwa mapaja we unasema yai?
Huyu mtu unamjua ?Watu wanavunja matikiti kwa mapaja we unasema yai?
Kuna maisha baada ya corona.Bado sijaelewa mantiki ya yai kuvunjwa na paja, inasaidia kutokomoza korona , au kuna u-fame gani , nawaza tu kwa sauti...
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dahWatu wanavunja matikiti kwa mapaja we unasema yai?
Ndani ya yai kuna utambi unaitwa chalaza,unatoka ncha moja mpaka ingine,unatengeneza presha ambayo inalifanya yai lisivunjike verticallyNimekua nikijiuliza sana ni kwanini haiwezekani kuvunja yai kwa kulibana vertically katikati ya viganja?
Pana sayansi gani hapa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maisha baada ya corona.
Watu wanavunja matikiti kwa mapaja we unasema yai?
Acha mambo yako haaaa haaaaWenzako wa dar wanavunja kwa kijiko
Kuna maisha baada ya corona.
Watu wanavunja matikiti kwa mapaja we unasema yai?
Ndani ya yai kuna utambi unaitwa chalaza,unatoka ncha moja mpaka ingine,unatengeneza presha ambayo inalifanya yai lisivunjike vertically
Nimelowa ute wa mayai kuanzia kifuani mpaka miguuni.
Mbona tumeingizana mkenge