Inasaidia sanaaaaWanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi. Kuvaa pete kunapunguza mazingira hatarishi maana wanawake wanaziogopa. Vaa pete yako kupunguza ushawishi wa kuchepuka, usipo ivaa your easy prey
sivai pete mda wote na sijawahi kuchepuka na siwezi kuchepuka. we kama umeoa lidubwasha/kituko utachepuka tu hata kama utavaa pete 24/7
unatongozwa na lipete lako!!Wanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi. Kuvaa pete kunapunguza mazingira hatarishi maana wanawake wanaziogopa. Vaa pete yako kupunguza ushawishi wa kuchepuka, usipo ivaa your easy prey
Wanawake wanaogopa wanaume wanaovaa pete za ndoa muda wote. Ingawa kuna uwezekano wanaume kutowaogopa kwa kiwango hicho wanawake waliovaa pete. Wakati mwingine wanaume wanachepuka kwa kuwa exposed kwenye mazingira hatarishi. Kuvaa pete kunapunguza mazingira hatarishi maana wanawake wanaziogopa. Vaa pete yako kupunguza ushawishi wa kuchepuka, usipo ivaa your easy prey
Kulingana na mtizamo, mimi ninawaona hao wapo huru. Hawafungwi na dhambi ya uzinzi. Issue ni pale mtu umeapa come rain come sun ni huyu tu, hapo ndipo unapotakiwa kujiepusha na mazingira hatarishi.mh je kama hujafunga ndoa kanisani au msikitini maana wapo wanaobebana tu
Uko sahihi mtani wa kipenzi changu 123Ni jinsi mtu anavyojiweka katika jamii, kuvaa au kutovaa pete hakuongezi wala kupunguza heshima ya ndoa. Kujitongozesha au kutongoza ovyo havina uhusoano na uvaaji wa pete. Kuna jamaa zangu wana ma gold vidoleni lakini wanabanjuka kila mara.
Na hiyo ndo hoja. Anavua kwa sababu anaona inamkinga. Na akiisha ivua anakuwa vurnerable. Kumbe asingeivua ingamkinga dhidi yamsukumo wa kuchepuka. Zivaeni, zinasaidia sana. Hata kama wewe ni muaminifu, vishawishi vipo tu and your safe kama ukijiweka mbali navyo.Siku hizi wanavua ukikutana nae ukimuuliza umeolewa anakwambia hajaolewa kwa nini usipige tu