kulala na nguo jeans naona si sawa ila kwa night dress nyepesi ni sawa maana usiku kuna mengi unaweza situkia wezi wanaingia huwezi kuanza kutafuta nguo kikubwa nikutafuta njia ya kupambana au kujinusuru/msaada ili uepukane na dhoruba itakayokuwa inafanywa na wezi