Kilimo Faida
New Member
- Apr 16, 2017
- 4
- 0
Wadau wa kilimo tumekuwa tukipata changamoto katika kununua au kuuza mazao kwa wakati na bei sahihi. Zifuatazo ni sababu mbali mbali:
Wauzaji/wakulima
1. Kukosekana kwa taarifa sahihi za wanunuzi na mahitaji
2. Kutokujua maeneo yenye uhitaji zaidi wa mazao
3. Bei ndogo kutoka kwa wanunuzi
4. Miundombinu mibovu
Wanunuaji
1. Kukosekana kwa taarifa za maeneo ya upatikanaji wa mazao
2. Ubora wa mazao kutoka kwa wauzaji/wakulima
3. Miundombinu mibovu
Je, Kuna changamoto nyingine ukiachilia zilizotajwa? Nini kifanyike?