Kuungua kwa gari

Kuungua kwa gari

mayenga

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2009
Posts
4,118
Reaction score
1,973
Wakuu,

Ni asubuhi ya leo nimepita Barabara ya Mwai Kibaki nimekuta kuna gari limeungua na limebaki screpa tupu.Pia kabla ya hapo nimeshuhudia matukio ya namna hiyo katika sehemu mbali mbali.Labda kwa mafundi na wenye uzoefu,ni kitu gani hasa kinapelekea gari kuungua?,kwa mtumiaji wa kawaida kama mimi,nifanyeje ili kuepuka zahama ya kagari kangu ka mkopo kuungua?Ahsante.
 
Mara nyingi utokana na umeme wa gari kama fundi amefanya wiring vibaya au amegusa umeme wa gari na akurudishia vizuri.Nyingine sababu yabima wanataka wabasilishe gari au walipwe hasa kama amekatabima kibwa.
 
Gari haliwezi kuungua kirahisi....kama halijapinduka...na tumeona mengi tu yanapinduka na hayalipuki pia...Huo ni mchezo tu ...watu wanaokataga bima kubwa wanafanya.
 
nalidikis redio one asubuhi kuwa haya magari yaligongana na kuwaka moto maeneo ya taa za morocco. so sababu kubwa ilikua ajali
 
Umeme wa gari ndio chanzo....kama ukiwahi kuchomoa terminal za battery inasaidia hasa kama ndo liaanza ungua
 
Back
Top Bottom