Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,207
Habari zenu wakuu wa mambo ya
matechnolojia, naomba kuuliza steps za
kuunganisha simu nyingne itumie internet
niliyonayo mimi kwa njia ya wifi kwakupitia
simu yangu aina ya blacberry mana nimejaribu
nimeshindwa natumia simu aina ya blackberry
curve 8520