Kuunganisha Madishi 3 kwenye TV Moja

Kuunganisha Madishi 3 kwenye TV Moja

Madiba

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
426
Reaction score
253
Nina madishi matatu, DSTV, Azam na StarTimes. Natumia TV ya Startimes ambayo ina kingamuzi kwa ndani. TV hiyo ina line 1 ya ziada kwa ajili ya kuingiza picha na sauti kutoka kingamuzi kingine. Huwa natumia line hii kuangalia Azam au DSTV kwa kubadilisha waya nyuma ya TV.

Wana JF ninunue kifaa gani ambacho ntakuwa nabadilisha kwa kutumia remote control bila ya kubadili nyaya kwenye TV?
 
wapigie startimes huduma kwa wateja watakusaidia 0764-700800/0677-700800.
 
Nina madishi matatu, DSTV, Azam na StarTimes. Natumia TV ya Startimes ambayo ina kingamuzi kwa ndani. TV hiyo ina line 1 ya ziada kwa ajili ya kuingiza picha na sauti kutoka kingamuzi kingine. Huwa natumia line hii kuangalia Azam au DSTV kwa kubadilisha waya nyuma ya TV.

Wana JF ninunue kifaa gani ambacho ntakuwa nabadilisha kwa kutumia remote control bila ya kubadili nyaya kwenye TV?
tumia conekta yenye suplier nyingi zipo kisha angalia tv utaona video 1,2 na hdml kama ipo hii ni hd picha so unakuwa unacheza na remote tu hakikisha unakuwa na hiyo pin yenye conector nyingi bei yake simple ingawa nimesahau bei
 
Nina madishi matatu, DSTV, Azam na StarTimes. Natumia TV ya Startimes ambayo ina kingamuzi kwa ndani. TV hiyo ina line 1 ya ziada kwa ajili ya kuingiza picha na sauti kutoka kingamuzi kingine. Huwa natumia line hii kuangalia Azam au DSTV kwa kubadilisha waya nyuma ya TV.

Wana JF ninunue kifaa gani ambacho ntakuwa nabadilisha kwa kutumia remote control bila ya kubadili nyaya kwenye TV?
TV yako ina mfumo mmoja tu AV wa input pekee??
Haina mfumo wa HDMI??
Embu piga picha kwa nyuma utume hapa tukushauri,
Maana ungeweza kuiachia Moja ikapitia HDMI na ingine ikapitia AV system
 
Nunua tv ya kisasa yenye hdmi kama tatu na kuendelea. Utafurahia uhondo. Achana na mambo ya av input/output.
 
Back
Top Bottom