kuunganisha cable television kwenye projector.

van penga

Member
Joined
Feb 24, 2013
Posts
74
Reaction score
4
wadau hbr...naomba kuuliza hatua za kufuata ili niunganishe huduma za cable television kwny projector yaan ntumie projector badala ya tv yangu...nko dodoma, ntashukuru kwa msaada
 
Ebu, jaribu kuangalia kama TV yako ina AV output maana zingine zinakubali kutoa kupitia pini ya AV output ambayo utaichomeka ktk projector kutoka kwenye TV.
 
wadau hbr...naomba kuuliza hatua za kufuata ili niunganishe huduma za cable television kwny projector yaan ntumie projector badala ya tv yangu...nko dodoma, ntashukuru kwa msaada
Mkuu hapo kwenye red haujasomeka unamaanisha huduma zakulipia au au unamaanisha cable za AV au???

Kama una tv unataka kutumia clable kuna mambo yakuangalia moja kupitia through TV au Direct kwenye Projector
Kama ni huduma ya cable tazama output AV,kama unataka kuhamisha hudumu kutoka kwenye kidukuzi kwenda katika projector tumia VGA!https://www.google.co.tz/search?q=v...wI6Gu0QXSh4DQDw&ved=0CDIQsAQ&biw=1366&bih=564
 
nmemaanisha huduma za kulipia kaka...kwa hyo ni lazma niwashe tv ndio iende kwny projector? hakuna means nichukue waya wa cable tv directly kwenye projector?
 
Nikwamba kama ni direct kutoka ktk cable kuna kitu kimoja unatakiwa uwe na projector ambayo ni multimedia ambayo ina option yakubadili channels zaidi ya hapo unatakiwa utumie hata deck yenye tuner ili iwe na uwezo wa ku search channel.
 
chukua waya wa cable chomeka kwenye tv baada ya hapo angalia matundu ya av out (nyuma ya tv) toa waya peleka kwenye projector. NB:Ukitaka kubadilisha channel unabadilishia kwenye tv
 
poa wazee acha nijarbu ntatoa feedback
 
imekubali...lkn hakuna njia nyngne tv isihusike kbs??

Mkuu, tumezingatia kuwa huyo cable operator wako anatumia RF kuwapatieni hizo channel hivyo hakuna njia nyingine mbadala labda kama huyo cable operator wako anagawa cable ambazo zinawekwa na receiver hapo ungeweza tumia receiver kupata picha ktk projecta ila kwa ishu yako unaweza kununua TV combo ambayo itakuwezesha kuona kupitia VGA cable.
Combo_TV_BOX.jpg
 
Kuna deck zinakuaga na tuner ndan yake so unachomeka huo waya una search channel bas kupitia deck tv huchomek
 
Mkuu, tumezingatia kuwa huyo cable operator wako anatumia RF kuwapatieni hizo channel hivyo hakuna njia nyingine mbadala labda kama huyo cable operator wako anagawa cable ambazo zinawekwa na receiver hapo ungeweza tumia receiver kupata picha ktk projecta ila kwa ishu yako unaweza kununua TV combo ambayo itakuwezesha kuona kupitia VGA cable.
Combo_TV_BOX.jpg

shukrani kaka...hiyo tv combo yauzwaje kwa wastani wa bei hapa bongo
 
nmepata deki yenye tuner naomba namba ya simu ya mdau mwenye idea jins ya kusearch na mengne maana nmekwama...au nibeep via 0713306404
 
wadau m nataka kutumia rcva 1 tv 2, tv nyngne ipo mbal kidogo hvyo inakuwa ngum kutmia waya za AV, vp kuna njia nyingne naweza tumia?
 
nmepata deki yenye tuner naomba namba ya simu ya mdau mwenye idea jins ya kusearch na mengne maana nmekwama...au nibeep via 0713306404
Chomeka huo waya kwenye deki halafu chomeka hzo waya za projector kwenye av out ya deki ziwashe sasa inategemea na deki ingia sehem ya ku search kama kwenye tv itakamata zote
 
Back
Top Bottom