Kuumwa miguu

Kuumwa miguu

leipzig

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
2,766
Reaction score
1,716
Hii hali ya kuwa na maumivu ya miguu imenianza muda mrefu na baada ya kumuona clinical doctor akanishauri nipunguze uzito,umri wangu ni 55 yrs.

Haya maumivu yako kwenye ankle na misuli ya miguuni,hivi ni uzito tu au kuna mengine?

Naomba ushauri wa ziada kwa vile huu uzito nilionao ni wa asili yetu kifamilia.
 
Njoo nikupeleke kwa mganga was kienyeji hutojuta
 
Unakula sana nyama ya mbuzi mana hilo tatizo hata mzee wang analo ila anaanza kupona sasa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom