Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
Shilingi milioni 1000 zinaitwa bilioni moja.
Shilingi bilioni 1000 zinaitwa trilioni moja
Shilingi trilion 1000 zinaitwaje kwa pamoja,
Zitaitwa Quntilion
Na ujue hela haina mwisho upo mwisho wa kutamka tu
aisee!
Na ujue hela haina mwisho upo mwisho wa kutamka tu
kwa hyo jina lake au ndio mwisho wa kutamka ukifikia hyo pesa.
Ikitoka hiyo trilion ndo inakuja hyo Quantilion
Mbona umeshangaa kichwa?
je kuna zaidi tena ya hapo?hli jambo nimekua nikijiuliza sana.asante kwa taarifa mkuu,nimejua inaitwaje.
Zinaitwa Terabyte....
Zaidi ya hapo labda nifanye tena uchunguzi mi pia niliishia hapo sikutaka tena kuuliza zaidi
shukran mkuu,unajua nimejiuliza sana hv dola trilion 1 ya marekan ni shiling ngapi.
mbona unaguna mkuuKWELI Kichwa Ndio Mtu !
Centillion ina zero 303 ndio ya mwishoje kuna zaidi tena ya hapo?hli jambo nimekua nikijiuliza sana.asante kwa taarifa mkuu,nimejua inaitwaje.