Kuuliza sio Ujinga

balimar

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2015
Posts
7,885
Reaction score
13,950
Nisaidieni jaman
Nataka wale wanaoishi kama malaika waishi kama shetani. Hii kauli sijaielewa serious!!
i. Kimantinki ina maana gani?
ii. Kimazingira context ana maanisha nni?
iii. Wale wa humanistic approach mumeelewaje?
Jaman asali tamu ila manundu nayo huwa yanatokeaga
Nawasilisha
 
Kimantiki anamaanisha kuwa wale wanaoua tembo kwa ubua kiama chao kimefika tayari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…