snipa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 4,523
- 2,165
Last edited by a moderator:
Uzee mwisho mikumi.....
Uzee mwisho mikumi.....
Kama umewahi kutumia kompyuta utakuwa unajua kuwa kompyuta yeyote ili ifanye kazi inahitaji kuwa na program kuu au program endeshi kwa kitaalam inaitwa operating system - os. Kama windows xp, vista, windows 7, ubuntu n.k. Sasa simu nazo ni kompyuta ila ni kompyuta ambazo zinatengenezwa maalumu kwa ajili ya mawasiliano hivyo nazo huhitaji os. Os za simu kama ilivyo kwa computer kubwa zipo nyingi kama iOs inayotumika kwenye simu za iphone, windows mobile inatumika sana kwenye baadhi ya simu za nokia, android ambayo ndo unaulizia inatumika sana kwenye simu za samsung galax, htc n.k.
Da mkuu na ww upo huku,nikajua upo maeneo yetu yale ya rahaleo alafu nilijua ni the owner,,,ahhh ahhhhaNo need to panic!
English is azana Problema some times!
Anaweza ku google afu asielewe! Si unajua wazungu ndio wenye moyo sana wakufungua blogs et all kuelezea mambo kama hayo!
Na kwa Lugha yao ya kizungu!
Lakini wabongo Umbea , Udaku , Na mapenzi ndivyo vilivyo jaa kwenye Blogs zetu hizi!
Da mkuu na ww upo huku,nikajua upo maeneo yetu yale ya rahaleo alafu nilijua ni the owner,,,ahhh ahhhha